by admin | Mar 5, 2024 | Blog News - English, Payment Modes
To make cash transfer from your mobile phone with VodaCom line to our bank account make sure that your MPESA account has enough cash to perform the transfer.
- In the phone call screen type *150*00# and press call button
- Select # 6 – Financial services
- Select # 2 – M-PESA to Bank
- Select from the list # 1 – CRDB
- Select # 1 to Enter Reference Number
- Enter Account no. (Our account no. is 01J1034874900)
- Enter amount – Enter the amount you want to transfer
- Enter PIN – Enter your M-PESA secret code
- Press 1 to confirm Enter no. 1 to accept the transfer
Wait for the completion message from VodaCom and CRDB. If the transaction is unsuccessful, please repeat from step no. 1 above
SEND US PAYMENT NOTIFICATION:
IMPORTANT!
Your order won’t be processed until evidence of payment is sent to us. Please send the following as the evidence of payment:
- Attach or reply the latest received Invoice # plus
- CRDB Bank Success Transfer Message OR
- Scanned copy of the original deposit slip if deposited physical to the bank or via agents.
NB: Remember also to keep the payment evidence as the same may be requested in the future for verification
140
by admin | Mar 4, 2024 | Blogu ya Kiswahili, Namna ya Kulipa
Kufanya Malipo kwa Kuweka Benki kwa Mkono
- Jina Benki: CRDB PLC
- Tawi: Arusha
- Jina la Akaunti: InfoCom Center
- Akaunti Namba. 01j1034874900
- Swift Code: CORUTZTZ
Kufanya Malipo kwa Kutumia M-PESA Kwenda Benki:
Kwenye sehemu ya kupigia simu Andika * 150 * 00 # na ubonyeze kitufe cha kupiga
- Bonyeza # 6 – kwenda kwenye huduma za kifedha
- Chagua # 2 – M-PESA kwenda Benki
- Chagua kutoka kwenye orodha # 1 – CRDB
- Chagua # 1 ili kuweka namba ya akaunti
- Ingiza namba ya akaunti (Namba ya akaunti yetu ni: 01J1034874900 AU 0111034874900)
- Weka – kiasi kinachodaiwa – (namba tu) = TZS………………………….
- Weka namba ya siri – Ingiza namba yako ya siri ya MPESA
- Bonyeza 1 kuthibitisha -Ingiza namba. 1 kukubali malipo
Subiri ujumbe wa kukamilisha muamala wako kutoka Vodacom na CRDB. Kama malipo hayakufanikiwa, tafadhali rudia kuanzia hatua namba. 1 hapo juu
Malipo ya Benki kwa Tigo-PESA
Kwenye sehemu ya kupigia simu Andika * 150 * 00 # na ubonyeze kitufe cha kupiga
- Bonyeza # 7 – huduma za kifedha
- Bonyeza # 1 – Tigo-PESA kwenda Benki
- Chagua kwenye orodha # 1 – CRDB
- Chagua # 1 ili kuingiza namba ya akaunti
- Ingiza namba ya akaunti (Namba ya akaunti yetu ni: 01J1034874900 AU 0111034874900)
- Weka – kiasi kinachodaiwa (namba tu) = TZS………………………………
- Weka namba ya siri ili kuthibitisha muamala wako
Subiri ujumbe wa kukamilisha mualamala kutoka Tigo na CRDB. Kama malipo hayakufanikiwa tafadhali rudia kuanzia hatua na. 1 hapo juu
Malipo kwa Airtel Money Kwenda Banki:
- Kwenye sehemu ya kupigia simu Andika * 150 * 00 # na ubonyeze kitufe cha kupiga
- Chagua 1: Kutuma Pesa “BURE”
- Chagua 3: Tuma kwenda Benki
- Chagua 2: Benki ya CRDB
- Weka Nambari ya Akaunti ((Namba ya akaunti yetu ni: 01J1034874900 AU 0111034874900))
- Weka – kiasi kinachodaiwa (idadi Tu) = TZS………………………..
- Weka namba ya siri ili kuthibitisha muamala wako
Utapokea ujumbe kutoka Airtel kwa mfano
“Txn Id: NW160506.0901.A02324 Umelipa TZS.196,000.00 kwenda Benki ya CRDB (Mafanikio: Kiasi kilichobaki kwenye akaunti yako ni 200.00Tshs.”
Ushahidi wa Malipo
MUHIMU!
Tuma kwetu ushahidi wa malipo pamoja na invoice ya madai kupitia barua pepe ya malipo: lembu@infocomcenter.com
Kuondoa usumbufu, tuma kwa kuijibu email yenye invoice yetu ya mwisho
Hutapewa huduma mpaka ushahidi wa malipo kwa kufuata utaratibu ufuatao utumwe kwetu:
- Ambatanisha invoice ya madai kutoka kwetu na ushahidi wa malipo
- Kama umeweka kwa mkono benki, tupa slipu kutoka benki
- Kama umeweka kwa kutumia wakala wa benki, pia ambatanisha slipu ya malipo
- Kama umetuma kwa kutumia simu, tutumie ujumbe wa kupokelewa pesa kutoka CRDB
- Kumbuka pia kuweka ushahidi wa malipo kwa ajili ya kumbukumbu kwa sababu tunaweza kuhitaji huko mbeleni.