Website ya kanisa Vitu vinavyotakiwa ili kutengeneza website ya kanisa ni hivi hapa chini: #1.  Unatakiwa uwe na domain au jina linaloakisi jina la Kanisa Mfano kristomfalme.church kristomfalme.or.tz kristomfalmechurch.or.tz #2.  Unatakiwa pia kununua Read more