Direct line:

+255755646470 +255787665050

Blogu ya Kiswahili

Mambo 7 Muhimu Zinazotakiwa ili Website Ipande Kwenye Google

Kuifanya website ipande kwenye ukurasa wa kwanza wa Google watu wanaposearch keywords zinazoendana na website yako sio kazi rahisi. Kwanza website yako ni laZima ikae angalau siku 90 hadi 180 Read more

SHARED, VPS, SEMI DEDICATED NA DEDICATED IPI UCHAGUE?

UTANGULIZI Unapotaka kuhost website ndogo, uchaguzi wa hosting ni rahisi kwani shared hosting itakupa vitu vyote utakazozihitaji kwa bei rahisi. Lakini website yako inavyozidi kuwa maarufu na kuwana functions nyingi Read more

Malipo kwa Airtel Money Kwenda Banki

Kwenye sehemu ya kupigia simu Andika * 150 * 00 # na ubonyeze kitufe cha kupiga Chagua 1: Kutuma Pesa “BURE” Chagua 3: Tuma kwenda Benki Chagua 2: Benki ya Read more

Malipo ya Benki kwa Tigo-PESA

Kwenye sehemu ya kupigia simu Andika * 150 * 00 # na ubonyeze kitufe cha kupiga Bonyeza # 6 – huduma za kifedha Bonyeza # 1 – Tigo-PESA kwenda Benki Read more

Kufanya Malipo kwa Kutumia  M-PESA Kwenda Benki:

Kwenye sehemu ya kupigia simu Andika * 150 * 00 # na ubonyeze kitufe cha kupiga Bonyeza # 6 – kwenda kwenye huduma za kifedha Chagua # 2 – M-PESA Read more

Kufanya Malipo kwa Kuweka Benki kwa Mkono

Jina Benki: CRDB PLC Tawi: Arusha Jina la Akaunti:  InfoCom Center Akaunti  Namba. 01j1034874900 Swift Code: CORUTZTZ Read more

Namna ya Kufanya Malipo Benki, MPESA, TIGOPESA, AIRTEL

Kufanya Malipo kwa Kuweka Benki kwa Mkono Jina Benki: CRDB PLC Tawi: Arusha Jina la Akaunti:  InfoCom Center Akaunti  Namba. 01j1034874900 Swift Code: CORUTZTZ Kufanya Malipo kwa Kutumia  M-PESA Kwenda Read more