by admin | Jul 11, 2024 | Blogu ya Kiswahili, Namna ya Kulipa
Kufanya Malipo kwa Kuweka Benki kwa Mkono
- Jina Benki: CRDB PLC
- Tawi: Arusha
- Jina la Akaunti: InfoCom Center
- Akaunti Namba. 01j1034874900
- Swift Code: CORUTZTZ
Kufanya Malipo kwa Kutumia M-PESA Kwenda Benki:
Kwenye sehemu ya kupigia simu Andika * 150 * 00 # na ubonyeze kitufe cha kupiga
- Bonyeza # 6 – kwenda kwenye huduma za kifedha
- Chagua # 2 – M-PESA kwenda Benki
- Chagua kutoka kwenye orodha # 1 – CRDB
- Chagua # 1 ili kuweka namba ya akaunti
- Ingiza namba ya akaunti (Namba ya akaunti yetu ni: 01J1034874900 AU 0111034874900)
- Weka – kiasi kinachodaiwa – (namba tu) = TZS………………………….
- Weka namba ya siri – Ingiza namba yako ya siri ya MPESA
- Bonyeza 1 kuthibitisha -Ingiza namba. 1 kukubali malipo
Subiri ujumbe wa kukamilisha muamala wako kutoka Vodacom na CRDB. Kama malipo hayakufanikiwa, tafadhali rudia kuanzia hatua namba. 1 hapo juu
Malipo ya Benki kwa Tigo-PESA
Kwenye sehemu ya kupigia simu Andika * 150 * 00 # na ubonyeze kitufe cha kupiga
- Bonyeza # 7 – huduma za kifedha
- Bonyeza # 1 – Tigo-PESA kwenda Benki
- Chagua kwenye orodha # 1 – CRDB
- Chagua # 1 ili kuingiza namba ya akaunti
- Ingiza namba ya akaunti (Namba ya akaunti yetu ni: 01J1034874900 AU 0111034874900)
- Weka – kiasi kinachodaiwa (namba tu) = TZS………………………………
- Weka namba ya siri ili kuthibitisha muamala wako
Subiri ujumbe wa kukamilisha mualamala kutoka Tigo na CRDB. Kama malipo hayakufanikiwa tafadhali rudia kuanzia hatua na. 1 hapo juu
Malipo kwa Airtel Money Kwenda Banki:
- Kwenye sehemu ya kupigia simu Andika * 150 * 00 # na ubonyeze kitufe cha kupiga
- Chagua 1: Kutuma Pesa “BURE”
- Chagua 3: Tuma kwenda Benki
- Chagua 2: Benki ya CRDB
- Weka Nambari ya Akaunti ((Namba ya akaunti yetu ni: 01J1034874900 AU 0111034874900))
- Weka – kiasi kinachodaiwa (idadi Tu) = TZS………………………..
- Weka namba ya siri ili kuthibitisha muamala wako
Utapokea ujumbe kutoka Airtel kwa mfano
“Txn Id: NW160506.0901.A02324 Umelipa TZS.196,000.00 kwenda Benki ya CRDB (Mafanikio: Kiasi kilichobaki kwenye akaunti yako ni 200.00Tshs.”
Ushahidi wa Malipo
MUHIMU!
Tuma kwetu ushahidi wa malipo pamoja na invoice ya madai kupitia barua pepe ya malipo: lembu@infocomcenter.com
Kuondoa usumbufu, tuma kwa kuijibu email yenye invoice yetu ya mwisho
Hutapewa huduma mpaka ushahidi wa malipo kwa kufuata utaratibu ufuatao utumwe kwetu:
- Ambatanisha invoice ya madai kutoka kwetu na ushahidi wa malipo
- Kama umeweka kwa mkono benki, tupa slipu kutoka benki
- Kama umeweka kwa kutumia wakala wa benki, pia ambatanisha slipu ya malipo
- Kama umetuma kwa kutumia simu, tutumie ujumbe wa kupokelewa pesa kutoka CRDB
- Kumbuka pia kuweka ushahidi wa malipo kwa ajili ya kumbukumbu kwa sababu tunaweza kuhitaji huko mbeleni.
by admin | Jul 11, 2024 | Blogu ya Kiswahili, Kutengeneza Website
Vitu vinavyotakiwa ili kutengeneza website ya kanisa ni hivi hapa chini:
#1. Unatakiwa uwe na domain au jina linaloakisi jina la Kanisa
Mfano
- kristomfalme.church
- kristomfalme.or.tz
- kristomfalmechurch.or.tz
#2. Unatakiwa pia kununua hosting
Maelezo kuhusu hosting na tofauti zao
Kwa matumizi madogo tunashauri shared hosting na kwa matumizi makubwa na muhimu tunashauri VPS yaani Virtual Private Server na kwa yale matumizi maalum yenye kuhitaji usalama wa hali ya juu tunashauri dedicated server. Shared server ni rahisi sana kwani zinakuwa kati ya dola moja hadi dola 10 kwa mwezi wakati, VPS inakupatia vionjo vyote vya dedicated server kwa bei ya wastani kati ya dola 10 hadi chini ya mia kwa mwezi. Dedicated server senyewe bei zake ziko juu kwani zingine zaweza fika dola mia na zaidi kwa mwezi
#3. Taarifa za website
Ukishanunua hosting unatakiwa kuanda taarifa za kuweka kwenye website kwa mfumo huu hapa chini. Kumbuka taarifa ni pamoja na maneno, sauti, video na picha
Mpangilio na muundo pendekezwa wa website
KUHUSU KANISA
- Uongozi wa Kanisa
- Barua ya Mchungaji Kiongozi
- Historia ya Kanisa
- Maono na Utume
- Tunu za Kanisa
- Tamko la Imani
HUDUMA ZA KANISA
- Idara ya Watoto
- Ibada za Kanisa
- Kwaya
- Vijana –
- Akina Mama – WWK
- Uinjilisti na Umisheni
- Wajane na Yatima
- Makanisa ya Maeneo
MIRADI YA KANISA
- Mradi wa Akina Mama
- Mradi wa Ujenzi wa Kanisa
- Mradi wa shule
- Academy
- Mradi wa Kwaya
- Mradi wa Compassion
HABARI NA MATUKIO
- Matukio Juma Hili
- Habari Picha (Picha za matukio zipangwe kulingana na matukio)
- Kalenda ya Kanisa ya mwaka (Matukio ya kuweka kwenye website kwa mwaka mzima)
- Ratiba ya wiki
SHUHUDA NA MAONI
MAWASILIANO
- Jina ya Idara/kitengo
- Jina la mkuu wa kitengo/idara
- Simu
- EMail
- Ramani ya Google
HUDUMA ZA KICHUNGAJI
- Jina la mchungaji au mtumishi
- Simu ya mkononi
MAHITAJI NA MAOMBEZI
by admin | Jul 11, 2024 | Blogu ya Kiswahili, Kutengeneza Website
Vitu vinavyotakiwa ili kutengeneza website ya kampuni ya utalii ni hivi hapa chini:
#1. Unatakiwa uwe na domain au jina linaloakisi biashara ya utalii
Mfano
- safariforleisure.com
- safariforleisure.co.tz
- wildlifeadventure.com
- wildlifeadventure.co.tz
- hakunamatatatours.com
- hakunamatatatours.co.tz
#2. Unatakiwa pia kununua hosting
Maelezo kuhusu hosting na tofauti zao
Kwa matumizi madogo tunashauri shared hosting na kwa matumizi makubwa na muhimu tunashauri VPS yaani Virtual Private Server na kwa yale matumizi maalumu yenye kuihitaji usalama wa hali ya juu tunashauri dedicated server. Shared server ni rahisi sana kwani zinakuwa kati ya dola moja hadi dola 10 kwa mwezi wakati, VPS inakupatia vionjo vyote vya dedicated server kwa bei ya wastani kati ya dola 10 hadi chini ya mia kwa mwezi. Dedicated server senyewe bei zake ziko juu kwani zingine zaweza fika dola mia na zaidi kwa mwezi
#3. Taarifa za website
Ukishanunua hosting unatakiwa kuanda taarifa za kuweka kwenye website kwa mfumo huu hapa chini. Kumbuka taarifa ni pamoja na maneno, sauti, video na picha.
Tuwasiliane kwa maelezo na huduma bora