1. Kwenye sehemu ya kupigia simu Andika * 150 * 00 # na ubonyeze kitufe cha kupiga
 2. Bonyeza # 6 – huduma za kifedha
 3. Bonyeza # 1 – Tigo-PESA kwenda Benki
 4. Chagua kwenye orodha # 1 – CRDB
 5. Chagua # 1 ili kuingiza namba ya akaunti
 6. Ingiza namba ya akaunti (Namba ya akaunti  yetu ni: 01J1034874900 AU 0111034874900)
 7. Weka – kiasi kinachodaiwa (namba tu) = TZS………………………………
 8. Weka namba ya siri ili kuthibitisha muamala wako

Subiri ujumbe wa kukamilisha mualamala kutoka Tigo na CRDB. Kama malipo hayakufanikiwa tafadhali  rudia kuanzia  hatua na. 1 hapo juu

Ushahidi wa Malipo

MUHIMU!

Tuma kwetu  ushahidi wa malipo kupitia barua pepe ya malipo: [email protected]

Hutapewa huduma mpaka ushahidi wa malipo kwa kufuata utaratibu ufuatao utumwe kwetu:

 1. Ambatanisha invoice ya madai kutoka kwetu na ushahidi wa malipo
 2. Kama umeweka kwa mkono benki, tupa slipu kutoka benki
 3. Kama umeweka kwa kutumia wakala wa benki, pia ambatanisha slipu ya malipo
 4. Kama umetuma kwa kutumia simu, tutumie ujumbe wa kupokelewa pesa kutoka CRDB
 5. Kumbuka pia kuweka ushahidi  wa malipo kwa ajili ya kumbukumbu kwa sababu tunaweza kuhitaji huko mbeleni.